TETEMEKO LA ARIDHI LA UTURUKI NA SYRIA
Tetemeko la ardhi lililotokea juma lililopita limeripotiwa kugharimu maisha ya zaidi ya watu 45,000 mpaka sasa. Hayo yameelezwa na shirika na habari la kimataifa la Al jazeera hivi punde
ZAIDI YA WANAJESHI 50 WA SERIKALI WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA BURKINA FASSO Taarifa kutoka duru za habari za shirika la habari la uingereza...
No comments:
Post a Comment